A few things about me

Leo ni siku la 20 ambampo mimi ni mama wa mtu. Swali la muhimu ni hii? Je..sijambo? Jibu- “mwanangu sijui”

Hii kazi ya umama ni kazi ngumu ambayo haina asante wala maelezo. Mtoto huyu ameniletea machozi mengi, wasiwasi na ameiba usingizi wangu. Tangu aje nyumbani sijala masaa manne wala sita mfululizo. Usiku yeye huamuka kila baada ya masaa mawili au moja na nusu. Wenzangu, nimechoka nimechoka. Kama kingewezekana, nigemurudisha hosipitalini, niwambiye, “nita rudi baada ya myezi misita”.

Eleweni kwamba mtoto nampenda, lakini nina hitaji usaidizi wa mfanyakazi. Wakina mama wa Afrika wana bahati sana. Mtoto ukimuzaa, unausaidizi wa watu. Mfanyakazi, au mama, au relatives (nimesahau). Hapa niko pekeyangu na nifanya kila kitu. Big Al ananisaidia, lakini hawezi kunyonesha mtoto na yeye siyo mwanamke.

Nimechoka. Nataka mfanyakazi. Nikimaliza kunyonyesha mtoto, mfanyakazi amechukuwe, ambembeleze na amlalishe.

Kazi ya umama!!

Thats my rant in kiswahili. In a nutshell, I am tired tired tired! I need a maid and sleep.

Bloody hell Mrembo, it is only 20 days and you already bitching!

F..k off!

Comments on: "Siku 20…..Je Sijambo….?" (10)

 1. Usiwe na wasiwasi mwingi.The baby will be big its only a matter of days.

 2. Usiwe na hofu siku zitapita haraka mfumulizo na utashanga mtoto amekuwa mkubwa na siku zakulala na jicho moja wazi zitakuwa zimeiisha.

 3. Mrembo usihangaike sana. Wajua wakati unapoumwa na jino hata ukiambiwa kuna bomu karibu kulipuka unaposimama hauoni hicho ni kitu kikubwa.

  Karibuni utashtukia mwana huyo akikuambia “mama unajua unanisumbua!” Kweli sisi mama wa afrika tumebahatika kuwa na watu wa kutusaidia.

  Muda si mrefu utapata usingizi wa kutosha. Tia moyo.

 4. Mami, chunga mtoi. Hata wewe ulikuwa hivyo. Ulimsumbua mamako vibaya sana. U culd cry the whole night. My advise is: take care of the baby. Mayb atakuwa our next prezzo…plizzzzzzz! take care of the innocent!

 5. surambaya said:

  Lo! Usiwe na hofu rafiki. Ndipo wahenga wakasema uchungu wa mwana aujuae ni mzazi. Kama Pekiro alivyonena, vumilia; kwani mvumilivu hula mbivu. Katika siku za usoni utajipata ukimtegemea huyo unayembemba mikononi mwako na takukuwa tegemeo lako. Mgawiye mapenzi kama ulivyogawiwa na mambo yatakuwa shwari. Ndio hali ya maisha mwenzangu, ndio hali ya maisha!

 6. mwariwadavid said:

  kuzaa sio kazi, ni kulea….hang on there! it will get better

 7. […] High heels, belts & lingerie Filed under: General — mwariwadavid @ 5:58 am I now appreciate that a woman’s life is a summation of numerous sharp bends, steep inclines and endless meanderings, sometimes through unfamiliar wilderness! Presented with this, one would now understand why many a woman finds herself lost, confused, or seriously beaten down by life events. Incase you doubt me, read this… […]

 8. Kila la heri katika kazi hii ngumu … lakini sina shaka kwamba utashindana !!

 9. […] 4th, 2007 by mrembo To all those who responded to “Siku 20″ post. Many thanks. Some of you told me off gently (that’s how I read it) and some encourage […]

 10. All the best, it gets better with time am sure by now you can tell. It’s so hard the first days b/c the baby is transitioning form the intrauterine(inside you) to the extrauterine environment, it’s body system is in the process of learning to fend for itself and it tires first and seeks the mom alot but with time the mechanism ups and it doesn’t need mom as often/much

  All the best, you can do this. Smile!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: